Başlangıç: KenyaYaşadığı yer: Nairobi, Kenya (19:55 UTC+03:00)
Hakkımda
11 Sep 2020 tarihinden bu yana italki öğretmeni
Hujambo, mimi ni Tuchi mzawa Kenya na mzungumzaji Kiswahili wa kiasilia,napenda kutanagamana na watu kutoka kwa tamaduni tofauti ili kubadilishana maarifa na kunoa ujuzi kuhusu dunia kwa jumla. Kwa wakati wangu napenda kutembea mandharini kupumzisha mawazo. Zaidi ya hayo mimi ni mwalimu wa Kiswahili kwa wanafunzi wa shule za upili na msingi.
Hi, I am Tuchi a Kenyan and Swahili native. I am a Swahili language teacher to elementary and high school students. I enjoy interacting with people from various cultures around the world as this helps broaden my general worldview. In my free time, I enjoy taking nature walks to ease my mind as I enjoy the calming and often breathtaking atmosphere.
Öğretmen Olarak Ben
Mimi ni mwalimu mkakamavu na mwenye hekima anayetekeleza wajibu wake kwa kutumia mbinu bora ili kuhakikisha kuwa kila mwanafunzi ameweza kufurahia somo. Huwa najitolea kujenga uhusiano mwema na kila mwanafunzi ili mazingira ya somo yawe ya kuridhisha na kumpa mwanafunzi nafasi ya kupata yanayosomwa bila tashwishi.
I am a patient and diligent teacher who will always seek innovative methods to ensure my students understand and enjoy the lessons. I strive to create a good rapport with the learners always for a healthy learning environment to maximize the uptake and retention of information.
Derslerim ve öğretme tarzım
Naamini kuwa mitindo inayomweka mwanafunzi kama mhusika mkuu ndio bora zaidi. Katika mosomo ya kawida ya mazungumzo huwahimiza wanafunzi kuzungumzia mada zinazowasisimua huku nikiwapa marekebisho na mifano zaidi pale tu panapohitajika. Ila, katika masomo menine yanayohitaji mitindo rasmi huwa natayarisha nyenzo zitakazofaa zaidi.
I believe in learner-centered approaches as they have been proven to work best. I, therefore, let the learner take charge of the process while I offer assistance and corrections where necessary especially in conversation practice. In more formal lessons, I come equipped with relevant resources that will offer the best guidance towards achieving the set objective.
Öğretim materyallerim
PDF dosyası
Test şablonları ve örnekler
Makaleler ve haberler
Sunum slaytları/PPT
Metin Belgeleri
Kısa sınavlar
Resim dosyaları
Ses dosyaları
Ödevler
Video dosyaları
Bilgi kartları
4.9
Değerlendirme
15
Öğrenciler
62
Dersler
98%
Katılım
100%
Cevap
4.9
Değerlendirme
15
Öğrenciler
62
Dersler
98%
Katılım
100%
Cevap
Gikuyu Ders
Gikuyu
Svahili
Deneme Dersi
9 ders tamamlandı
USD 5.00+
Gikuyu conversations
A1 - C2Konuşma Pratiği0 ders tamamlandı
USD 10.00+
Uygunluk Durumu
Saat diliminize göre (UTC+00:00)
7 Geri bildirim
a04146
2Svahili ders
I had a good lesson with Tuchi. He has a vast knowledge of Swahili as well as English which is very helpful. He also knows the Swahili words for technical terms which is something one does not often see. There seemed to be some minor problems with his audio which meant I had to strain now and then to hear him. Besides that, the only suggestion I have is for him to perhaps ask more questions. Overall, though, he gets two thumbs up. Asante sana, Tuchi!